×
RECHERHCE
×

Najisikia Kuua Tena

×
  • Dans le texte
  • Bouquiner
  • Index
RECHERHCE

Mtobwa, R.

Livrel 114p.
(Fiction)
ISBN: 9789966565976
“...Inspekta, najisikia kuua tena...” inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria...hapatikani... Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu...
×
  • Dans le texte
  • Bouquiner
  • Index
RECHERHCE
×

Browse

Index